Zechariah 12:10

10 a“Nami nitamiminia nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu roho ya neema
Au: Roho wa neema.
na maombi. Watanitazama mimi, yule waliyemchoma. Nao watamwombolezea kama mtu anayemwombolezea mwanawe wa pekee na kusikitika kwa uchungu kama anayemsikitikia mzaliwa wake wa kwanza wa kiume.
Copyright information for SwhKC